Nane wafariki ajalini, watano wa familia moja

Kamanda wa polisi mkoa wa Kagera, William Mwampaghale

Watu nane wakiwamo watano wa familia moja ambao ni mama na watoto wake wanne, wamefariki dunia baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso usiku wa kuamkia Julai 11, 2022, katika eneo la Busiri barabara kuu ya kutoka Lusahunga kuelekea Nyakahura wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS