Simba yafanya usajili wa pili, watoa Milioni 35

Habibu Kyombo mshambuliaji mpya Simba SC

Klabu ya Simba SC ya Dar es salaam imemtangaza Habibu Kyombo kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo akitokea Mbeya Kwanza. Kyombo anakuwa mchezaji wa pili anasajiliwa na Simba SC msimu huu baada ya Moses Phiri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS