Mkakati wa kupambana na tembo Tanga
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Adam Malima amesema Tembo wanaovamia makazi ya wananchi na kuua watu na kuharibu mazao wataondoshwa na kufungwa kola iyakayowezesha maafisa wanyama pori kufahamu mahali walipo na kuwadhibiti.