Parimatch kugawa fursa kwa wateja wake
Kampuni ya michezo ya bahati nasibu Parimatch imeamua kutoa fursa ya kipekee kwa wateja wake wote kwa kuwapa fursa ya kijanja ya Uwakala, inayowezesha washiriki wa mchezo wa kubahatihsa kugawiwa kiasi cha asilimia 25 ya faida kampuni inayoipata.