"Walikuwa wanamkataa Babalevo" - Shilole Picha ya pamoja ya Babalevo na Shilole Msanii Shilole amefunguka kuhusu rafiki yake wa muda mrefu Babalevo kwamba zamani baadhi ya watu walikuwa wanamkataa kwa sababua alikuwa anaomba omba sana. Read more about "Walikuwa wanamkataa Babalevo" - Shilole