Kutoka Mwanza mpaka Dar kwa ajili ya Namthamini
Kutoa ni moyo na si utajiri, na Dkt Ibrahimu Ibrahimu kutoka hospitali ya Sekou Toure, Mwanza anaishi katika maneno hayo kwa kuchangia taulo za kike pakiti 16 zitakazosaidia wanafunzi wawili shuleni kwa mwaka mzima.