Tanzania,Ufaransa kundi moja kombe la Dunia 'Serengeti Girls' TIMU ya Taifa Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 17 'Serengeti Girls' imepangwa kundi D Kombe la Dunia litakalofanyika nchini India kuanzia Oktoba 11 mpaka 30 mwaka huu. Read more about Tanzania,Ufaransa kundi moja kombe la Dunia