Mama Zuu ataja pesa ya matumizi ya mtoto kwa mwezi
Picha ya Mama Zuuh na Harmonize wakiwa na mtoto wao
Mama mtoto wa msanii Harmonize Official Shanteel amefunguka sapoti anayopewa na mzazi mwenziye kwenye malezi ya mtoto wao kwa mwezi kupitia EATV & EA Radio Digital.