Ijumaa , 24th Jun , 2022

Mama mtoto wa msanii Harmonize Official Shanteel amefunguka sapoti anayopewa na mzazi mwenziye kwenye malezi ya mtoto wao kwa mwezi kupitia EATV & EA Radio Digital.

Picha ya Mama Zuuh na Harmonize wakiwa na mtoto wao

"Harmonize anatoa sapoti kwa mtoto, analea mtoto wake anamsomesha shida ipo kidogo lakini anatimiza majukumu yake"

"Siwezi kuhesabu jumla ni Tsh ngapi kwa mwezi kwa sababu nikiwa nahitaji kitu nasema napewa, labda laki 5".

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia hilo.