"Watu wa Ngorongoro wamehama kwa raha,"- Lusinde

Mbunge wa Mvumi Livingstone Lusinde

Mbunge wa Mvumi Livingstone Lusinde, amesema kwamba jambo alilolifanya Rais Samia la kuwahamisha wamaasai pamoja na Ng'ombe zao kwa mabasi na malori ni jambo la kiungwana na ameonesha ubinadamu na utu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS