Wanasiasa wanatafuta 'Kiki' - Mbunge Jesca Kishoa Mbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa amesema kauli za baadhi ya watu kuwa wakazi wa Ngorongoro wasihamishwe kwa kuwa wamezoea eneo hilo ni kauli za kuwagawa watanzania. Read more about Wanasiasa wanatafuta 'Kiki' - Mbunge Jesca Kishoa