Majaliwa atoa maagizo uwekaji wa anuani za makazi

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amezitaka taasisi zote zenye dhamana ya masuala ya ardhi na makazi kuhakikisha zinakuja na mikakati thabiti ya kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi iliyoainishwa wakati wa utekelezaji wa zoezi la operesheni ya anuani na makazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS