Costa Rica yakamilisha timu 32 za Kombe la Dunia
Timu ya taifa ya Costa Rica imefuzu kucheza fainali za kombe la Dunia kwa mara ya 6 baada ya kuifunga timu ya taifa ya New Zealand bao 1-0 kwenye mchezo wa mtoano (Playoffs). Na kukamilisha idadi ya mataifa 32 yatakayoshiriki kwenye fainali hizo.