Wachezaji wa Urusi waruhusiwa kushiriki US Open

Wachezaji wa Urusi wameruhusiwa kushiriki michuano ya US Open

Chama cha Tenisi nchini Marekani (USTA) na waandaaji wa michuano ya wazi ya Marekani (US Open) wameruhusu wachezaji wa mchezo huo kutoka mataifa ya Urusi na Belarus kushiriki katika michuano hiyo itakayofanyika kuanzia Agosti 29 mpaka Septemba 11 mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS