Wachezaji watatu Yanga SC kuikosa Coastal Union
Klabu Yanga itashuka dimbani siku ya Jumatano ya June 15, 2022 kuwakabili Coastal Union ya Jijini Tanga kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kuchezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia majira ya saa 20:30 usiku.