TFS Golf Lugalo kuanza Juni 18 Mchezo wa gofu. Klabu ya Jeshi ya Lugalo imeandaa mashindano ya mchezo wa gofu ya TFS Golf Open 2022 yanayotaraji kuanza Juni 18-19 mwaka huu kwenye viwanja vya Klabu ya gofu Lugalo jijini Dar es Salaam. Read more about TFS Golf Lugalo kuanza Juni 18