Marioo afunguka bifu yake na Juma Jux Pichani ni Marioo na Jux Msanii Marioo amefunguka sababu za kukosekana kwenye harusi ya msaniii juma jux licha ya kuwa wawili hao ni marafiki,mbali na hilo pia Bad ameweka wazi kuwa hana ugomvi wowote ule na Jux Read more about Marioo afunguka bifu yake na Juma Jux