Isak kurejea Uwanjani hivi karibuni Kocha mkuu wa Liverpool, Arne Slot, ametoa habari njema kwa mashabiki wa klabu hiyo baada ya kuthibitisha rasmi muda wa kurejea kwa mshambuliaji wao hatari, Alexander Isak. Read more about Isak kurejea Uwanjani hivi karibuni