Wananchi wa Loliondo wawe watulivu - RC Mongella Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amewataka wananchi wa Tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro Kuwa watulivu na kusikiliza maelekezo ya serikali katika zoezi la uwekaji mipaka. Read more about Wananchi wa Loliondo wawe watulivu - RC Mongella