Ripoti
Bodi ya yatoa Ratiba ya msimu wa 2014-15. Mechi zote za mwaka huu kuchezwa mwishoni mwa juma isipokuwa viporo.
Ripoti
Golikipa wa zamani wa Simba SC, Mohamed Mwameja asema timu yake ilipoteza mchezo wa fainali ya kombe la CAF 1993 dhidi ya Stellar Artopis ya Ivory Coast kutokana na uchovu wa mazoezi mazito ya juma zima kuelekea mchezo huo.
Kinara
Bondia wa uzito wa Bantam, Nassib Ramadhan, asema Rashid Matumla ndio bondia bora kuwahi kutokea hapa nchini.