KITENGO- MAZISHI YA MEZ B
Mazishi ya msanii wa Bongo Flava kutoka kundi la Chemba Squad Mez B hapa ni mjini Dodoma ndipo mazishi yalipo fanyikia.
KITENGO -NOOHRA -KWENYE MAZISHI YA MEZ B
Msanii kutoka kundi la Chemba Squad Akizungumzia kuhusu Marehemu Moses Bushangama kwa jina la kisanii Mez B kuhusu enzi za uhai wake alivyokuwa.
KITENGO - MAMA WA MEZ B
Mama wa marehemu akiongea juu ya Mwanae Mez B kuhusu alivyokuwa mkarimu na mabo mengi sana kuhusu mwanae hasa kuhusu muziki na elimu kuhusu mtoto wake.