KITENGO - Gosby
Gosby ali soma Shaban Roberts na St. Anthony jua ni shule ipi alikutana na washikaji alio anza nao kwenda studio na ilikuaje mpaka JUX alienda studio uko kimara kumtengenezea vocals.
KITENGO - Gosby
Muone rafiki yake Gosby wa enzi zile za shule akituelezea ni kwanini Gosby ana kingereza kingi kwenye nyinmbo zake na malengo yake katika ya fani ya muziki wa kizazi kipya.
MGODI - Kitifa
Ndani ya Mgodi yuko mdada anae rap anaitwa Kitifa na anasikitika sana kwamba amna wasichana wengi kwenye game wanao rap. Yeye amekuja kuwashika akiwa na nyimbo yake pale amemshirikisha Linex.