Q and A
Mwanafunzi kutoka Kisukuru Regent akijaribu kujibu swali kutoka kwa Kevoo
Kimbweta
Kwenye Kimbweta Kevoo amejadili na wanafunzi hawa juu ya changamoto wanazokutana nazo kipindi cha mitihani
Tokelezea
Kipaji kutoka kwa mwanafunzi aliyepata nafasi ya kutokelezea