Hamisi Nuru, nipo na bibi yangu Mwajuma pande za Kipawa Karakata
Halaaa 5, naitwa Hamisi Nuru, nipo na bibi yangu Mwajuma pande za Kipawa Karakata, big up kwa wana wote wanaongalia eNewz.. halaaa 5 eNewz ndio mpango mzimaa..
Vicent Sir V
Vicent Sir V kutoka Mo-town Pasua, holla 5 kwa wajanja wote wa town, eNewz ndio habari ya town, chezea eNewz wewe utalala vichakani.
David Nyada wa Musoma
David Nyada wa Musoma, Nawapa Hala 5 kwa wazazi wangi. Mr & Mrs Nyanda, wanakwaya wote wa AICT Makoko, Mjomba Prosper akiwa Bukumi - Majita, Mama Yangu Diana, Esther, Shangazi zangu wote popote mlipo, Asante kwa kubuni kipindi hiki Nyalifa.
Tunaitwa Tekla, Upendo na Halima toka shule ya msingi Kunduchi
Tunaitwa Tekla, Upendo na Halima toka shule ya msingi Kunduchi hapa Tegeta, tunawapa holla 5 Bibi ake Halima, Mjomba Jumanne, Mdogo etu Hozana na wote wanaotufahamu toka Tegeta mtaa wa msichoke. asanteni sana.