
Agelo Hagai
Hi,Kaka Dominiki shikamoo, Naitwa Agelo Hagai toka Nyangao Lindi. Napenda kumsalimia Mama yangu, Baba yangu, Kaka Fred, Shangazi Pamela na Dada Zuhuru. Heri sana kwa mwaka mpya, chezea Nyalifa wewe utapishana na mwaka. Halla fiveeeeee!
Famy
Hi ma nem iz Famy Mb from Iringa Tz, am watchin' enewz. Happy new year to you all,Hallaaaaaaaaaaa!!!!!

Baby Dianne
Naitwa baby Dianne na kaka yangu Mike stancy ... 2nawatakia mwaka mpya weye kheri.
Peter
Naitwa Peter, natokea pande za dar namsalimia baba na mama waliopo dar, bila kumsahau babu na bibi waliopo dar, shangazi zawadi na bamdogo inno waliopo dodoma nawasalimu. Halaaa five chezea nyalifa wewe utaumiaaa!