Kushoto ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kulia ni msanii Mwana FA.

19 Dec . 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata Utepe na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Kisiasa pamoja na Viongozi wa Dini wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 .Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam.

19 Dec . 2018

Waziri Mwakyembe akiwa na baadhi ya wanachama wa Yanga (Wanachama hawa kwenye picha hawahusiani na wanaochunguzwa).

19 Dec . 2018

Wanafunzi wakiwa wamekusanyika.

19 Dec . 2018

Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea, akisalimiana na Rais Dkt. John Magufuli, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi katika upanuzi wa barabara ya Kimara hadi Kibaha kwa upana wa njia nane na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.

19 Dec . 2018

Baadhi ya wachezaji wa Yanga

19 Dec . 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.

19 Dec . 2018