Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kubenea , Komu waomba radhi

Thursday , 18th Oct , 2018

Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao walikuwa wakituhumiwa kwa makosa ya kutaka kumzuru moja ya kada wa Chama hicho ambao ni Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea pamoja na Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu wameomba radhi baada ya kuhojiwa na kamati kuu ya Chama hicho.

Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea akiwa na Mbunge Anthony Komu wa Moshi Vijijini.

Kwa mujibu wa Naibu Katibu Mkuu bara, John Mnyika wajumbe wa  kamati kuu ya chama hicho kiliwakuta  na hatia wabunge hao baada ya kukiri kuwa sauti zilizosambaa ni zao ambapo walitangaza kuwapa adhabu mbalimbali.

Akizungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea na Athony Komu wameomba radhi kwa baadhi ya viongozi ambao wametajwa kwenye sauti iliyokuwa ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa niaba yangu binafsi wananchi wa ubungo na chama changu nichukue nafasi hii kusema yaliyotokea siku hiyo ilikuwa ni bahati mbaya sana, tunaomba radhi kwa chama chetu na wengine wote waliomuizwa na tukio hilo.”Amesema Kubenea

Nataka niseme chama ni kikubwa kuliko sisi wote, tumeshawasilisha barua ya kuomba radhi kwa yaliyotokea na sasa tunaomba radhi kwa chama chenyewe na wapenzi wote wa chadema, na zaidi wale ambao walitajwa tunawaomba radhi, ninamuomba radhi sana mwenyekiti Mbowe, Meya Jakob Borniface wa Ubungo.” Amesema Komu

Katika kikao cha kamati kuu ya Chama hicho wabunge hao wamepewa adhabu nne ikiwemo kuvuliwa nafasi zao za uongozi ndani ya chama hicho, kuwa kwenye uangalizi kwa kipindi cha miezi 12, kuandika barua ya kuomba radhi kwa chama, pamoja na kupewa onyo kali.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa January Makamba

Ziara ya Rais Samia Korea kuanza rasmi Mei 31 2024

Bw. Nazar Nicholas (katikati) akikabiziwa tuzo ya WSIS 2024

Tanzania yashinda Tuzo WSIS 2024, nchini Uswisi

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20