Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Lowassa atajwa kuwa mmiliki wa CHADEMA

Wednesday , 10th Jan , 2018

Mbunge wa Geita, Joseph Msukuma amesema kwamba viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wanapiga kelele kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Lowassa kwenda Ikulu lakini hawana mabavu ya kumfukuza uanachama kwani yeye ndiye mwenye chama.

Msukuma amedai kwamba, Mbowe ambaye anaaminiwa kuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA tayari alikwishauza chama kwa Lowassa muda mrefu ndiyo maana hana sauti ya kumuwajibisha.

Aidha Msukuma wakati akizungumza na Millard Ayo TV, hajaishia hapo ambapo pia amemtaka Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hicho aoneshe nguvu yake ndani ya chama kwa kumwambia Lowassa aombe radhi  na siyo waombane wao kwa wao kwani kutakuwa ni kuwapumbaza wanachama na wafusi wao bali hadharani watu waone.

"Lowassa ndiye mwenye Chama. Wewe mbowe uliuza chama sasa wewe kama msemaji toa kauli ya kumfukuza chama Lowassa. Tunashangaa kuanza kuchafuliwa kwa mtu ambaye mlituaminisha kuwa anafaa kuwa Rais. Muite Lowassa umhoji mitandaoni tuone akikuomba radhi. Na hata akikuomba radhi sasa hivi tutajua siyo kwa mapenzi yake," Msukuma.

Ameongeza kuwa, "Mbowe kusema kuwa Lowassa alikurupuka ni kumkosea adabu kwanza, Lowassa ni mtu mzima kwake na yeye bado ni kijana. Na  ninaamini kwamba wewe Mbowe Lowassa hakuombi msamaha kwa kuwa yeye ndiye mmiliki".

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya