Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Nassari amponza Mbunge mwingine wa CHADEMA

Monday , 18th Mar , 2019

Imeelezwa kwamba Spika wa Bunge anafikiria hatua za kinidhamu za kumchukulia Mbunge wa Kilombero Mhe. Peter Lijualikali kufuatia kauli za kejeli dhidi ya Bunge .

Joshua Nassari

Taarifa hiyo imeeleza kwamba  kauli hizo zimetolewa na Mbunge huyo siku ya jana, Machi 17, wakati akizungumza na wanahabari katika mkutano wa Joshua Nassari ambaye amevuliwa Ubunge wiki iliyopita.

Katika mkutano huo, Lijualikali alishangazwa na kitendo cha Spika kumvua ubunge Nassari wakati Mbunge huyo alipodai kuwa alitimiza wajibu wake wa kulitaarifu bunge juu ya matatizo anayopitia.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa January Makamba

Ziara ya Rais Samia Korea kuanza rasmi Mei 31 2024

Bw. Nazar Nicholas (katikati) akikabiziwa tuzo ya WSIS 2024

Tanzania yashinda Tuzo WSIS 2024, nchini Uswisi

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20