Akiongea na Wanandishi wa habari Mratibu wa mazingira kanda ya Mashariki Bw Jaffari Chimgege amesema kuwa baada ya kufanyika tathmini ya kina nja kujiridhjisha mradi husika hautakuwa na athari kwa mazingira , baraza hutoa cheti cha mazingira kwa mhusika ili aaendelee na mradi wake.
Bw Chamkege ameongweza kuwa endapo mhusikawa mradi ataonekana kuharibu kazingira atachang`anywa cheti chake na waziri husika na hatoruhusiwa kuendelea na mradi huo ili asiweze kuendelea kugharibu mazingira.




