Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Vijana mgombee Udiwani na Ubunge - Ndugai

Friday , 18th May , 2018

Spika wa Bunge la Tanzania mheshimiwa Job Ndugai amewataka vijana nchini kugombea nafasi mbalimabali  za uongozi ikiwemo udiwani na ubunge ili kutatua tatizo la kukosa ajira kutokana na kukosa uzoefu.

Spika Ndugai amesema hayo Bungeni leo, Mei 18, 2018 baada majibu ya Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Bunge, Jenista Mhagama, kutokana na swali la mbunge wa viti maalumu Zainab Katimba aliyetaka kujua mkakati wa Serikali katika kutatua tatizo la ajira kwa vijana wasomi wasikuwa na uzoefu.

“Asante sana Waziri wa nchi kwa majibu ya nyongeza, Vijana wasomi, zipo kazi nyingine hazihitaji uzoefu, mnaweza mkagombea Udiwani, mkagombea Ubunge, nawatangazia vita waheshimiwa hapa” amesema Spika Ndugai.

Awali Naibu Waziri, Sera, Bunge, kazi, vijana, ajira  na walemavu Anthony Mavunde amesema kwamba serikali imeendaa utaratibu wa kuwapa vijana nafasi za kujitolea katika makampuni na mashirika mbalimbali ili kupata uzoefu wa kuweza kuajiliwa

“Kupitia mpango huu utawasaidia sana vijana wasomi  wa nchi yetu ambao walikuwa wakipata tabu na kikwazo cha uzoefu, kwa hivi sasa atapata nafasi ya kujifunza katika kampuni kwa muda huo wa mwaka mmoja na badae tutampatia cheti cha kumtambua ili iwe kama kiambatanisho chake” amesema Naibu Waziri Mavunde.
 

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya