Wachezaji wa Yanga na Namungo wakizozana katika mchezo wa jana wa VPL uliomalizika kwa sare ya bao 1-1.

Mohamed Salah (Pichani) akishangilia baada ya kupachika bao wakati Liverpool ilipotoka sare na Everton.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Charles Msonde.

Pozi la Billnass na Nandy wakiwa katikati ya barabara

Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa klabu ya Yanga Antonio Nugaz

Mgeni Rasmi wa mashindano ya NBC Dodoma Marathon ambaye ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mama Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba yake wakati wa kuhitimisha mashindano hayo.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendelo ya Jamii Dkt. John Jingu akionesha Mwongozo ya uboreshaji makazi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Sirro.