Tuesday , 13th Dec , 2016

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Baraka the Prince leo amekutana uso kwa uso na msanii mwenzake T Knock ambaye amekuwa akimtuhumu kumuibia wimbo wa 'So fine'.

T Knok (Kushoto) akiwa na Baraka (kulia) ambaye alikuwa akikwepa kamera

 

Kwenye Planet Bongo ya East Africa radio, wasanii hao walikutanishwa bila kujua kama watakutana, na matokeo yake kila mmoja alikuwa 'akipanick' kwa kumuita mwenzake muongo, huku Baraka akikana kumjua T Knock.

Tazama video nzima hapa chini jinsi ilivyokuwa mwanzo mpaka mwisho wa tukio zima.