Submitted by fadhili on Thursday , 14th May , 2015
ILI KUMPIGIA KURA MSHIRIKI UNAYEMPENDA, KWA NJIA YA UJUMBE MFUPI ANDIKA CODE NAMBA YAKE KAMA INAVYOONEKANA MBELE YA JINA LAKE, NA KISHA UITUME KWENDA NAMBA 15522.
Wauguzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakimpokea Dada Neema Mwita Wambura (32) na kuanza mara moja kumfanyia tena uchunguzi wa afya yake katika majeraha aliyoyapata mara baada ya kumwagiwa uji wa moto uliokuwa ukichemka jikoni kitendo kilichofanywa na mume wake.