
Kuku wa Kienyeji

Picha za Marais wa Nchi ya Tanzania, Uganda na Kenya ambao wanavutana kuhusu Ujenzi wa bomba la mafuta

Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe,
Mkurugenzi Mkuu wa taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Jinsi ya Kupunguza Umaskini ya REPOA, Dkt Donald Mmari.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katikati akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mapema leo wajati akitoa tamko la siku ya Kifua kikuu Duniani,Kulia ni Meneja wa mpango wa Taifa wakudhibiti Kifua kikuu na Ukoma Dr.Beatrice Mutayoba na Kushoto ni Mkurugenzi wa Tiba Dr.Magret Mmbando
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali PIC, Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aesh Hilary (katikati).