Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Gigy Money atoa wosia

Tuesday , 19th Sep , 2017

Msanii Gigy Money amewausia wasichana ambao wameingia kwenye 'game' ya bongo fleva na kuwataka waache kuimba vitu vigumu na badala yake watafute vyepesi ili waweze kuwafikia mashabiki zao kwa wepesi kama alivyofanya yeye.

Gigy Money

Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Gigy Money amesema hayo baada ya kuwepo wimbi kubwa la wasanii wapya wakijikuta kutumia vitu vingi katika kuimba na mwishowe kutofikisha malengo yao waliyoyaweka kwa wakati huo.

"Nitoe ushauri kwa wasichana ambao wanaimba, unajua wasichana wengi wana vipaji vya kuimba lakini wanafeli.  Ukishajijua huwezi kuimba acha kuimba vitu vingi, huna uwezo wa kuimba alafu mambo unayoimba mlolongo kibao, vingereza, sijui nini utajikuta unafeli. Sasa neno kama 'papa' lipo uswahilini, rahisi kwa watu kuelewa", amesema Gigy Money.

Hivi karibuni Gigy Money ameachia wimbo wake wa 'papa' ambao unazidi kufanya vizuri mtaani, na kusema kwamba lengo lake lilikuwa kuwafikia watu wa rika lote, na anahisi amefanikiwa katika hilo.

Tazama hapa chini video yake ya 'Papa'.

HABARI ZAIDI

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita

Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Mvua zilizoambatana na upepo zimeua watu watano TZ

Muonekano wa Eneo la Somanga baada ya Mawasiliano kati ya Lindi na Dar es Salaam kurejeshwa.

Mawasiliano yarejeshwa barabara ya Dar - Lindi

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP