msanii wa muziki nchini Nay wa Mitego
Video hii ya Mr Nay imefanyika huko nchini Kenya chini ya muongozaji Kevin Bosco Junior, kazi ambayo audio yake imefanyika chini ya mtayarishaji mahiri anayefanya kazi na msanii huyu, Mr T Touchez.
Video ya msanii Ney Wa Mitego, Mr Nay ambayo picha za utayarishaji wake ziliwatisha kidogo mashabiki kutokana na kuhusisha matukio yenye ishara zinazohusishwa na imani za kishetani, imetoka rasmi kwa ajili ya mashabiki wa msanii huyu.