
Msanii wa muziki wa dansi nchini Khalid Chokoraa
Mabadiliko hayo makubwa ikiwepo kupunguza kutaja majina ya watu na vilevile urefu wa nyimbo kinyume na vile ilivyokuwa imezoeleka katika nyimbo nyingi za dansi hapa nchini.
Khaleed amesema kuwa, ujio huo mpya unakwenda sambamba na kuongeza ladha zaidi katika kazi zao, na albam yao mpya ambayo ipo katika hatua za mwisho sasa, ndiyo itakayoonesha mabadiliko hayo kwa kina.
