
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa Jumuiya ya Bohra, baada ya kongamano, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam

Mgeni Rasmi, Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dr Ali Mohamed Shein akiwa Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mpango Mpya kwa Maendeleo ya Afrika, Dkt. Ibrahim Mayaki.
Balozi wa Kudumu wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Geneva, Mhe. Balozi Modest J. Mero alipokutana na Dr. Margert Chan, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO).

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli (Kushoto),akimsalimia mmoja ya wazee walio katika kituo cha kulelea wazee.

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka.

Alhaj Ali Hassan Mwinyi
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania ACP Advera Bulimba