Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Nilikuwa kama 'demu' - Hemedi Phd

Tuesday , 19th Sep , 2017

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Hemed Phd amesema wakati anakuwa alikuwa mzuri kama mtoto wa kike, kitendo ambacho kilimuingiza kwenye matatizo mengi ikiwemo kufukuzwa shule.

Akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Hemedi amesema muonekano wake wenye kuvutia, ulisababisha awe na mahusiano na mke wa mwalimu na kupelekea kufukuzwa shule aliyokuwa akisoma.

"Unajua kabla sijaanza kukua na kutoka zile chunusi chunusi mi nilikuwa kama demu, nilikuwa nahenyesha sana walimu wa kike walikuwa wananikubali sana, bebe zilikuwa zinaelewa sana, lakini kutokana na umri na mazingira nikawa navunga, nishapata kesi mimi nikiwa sekondari kidato cha pili  kutembea na mke wa mwalimu nikafukuzwa shule, lakini yote ni sehemu ya maisha tunapita", amesema Hemedi.

Hemedi kwa sasa anadai mambo hayo ameacha kwa sababu ameshakuwa mtu mzima na yuko na familia, ambapo ana mke na mtoto mmoja. Lakini pia msanii huyo ameichia kazi yake mpya sasa inayojulikana kwa jila la 'Mkimbie'.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya