Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mbasha afunguka miaka 5 bila kukutana na mwanamke

Saturday , 22nd Jun , 2019

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha ameweka wazi kuwa yupo Single kwa miaka mitano sasa na hajawahi kukutana na mwanamke tangu alipoachana na mke wake Flora Mbasha.

Emmanuel Mbasha

Mbasha amefunguka hilo kwenye Friday Night Live ya East Africa Television, Ijumaa Juni 21, 2019 akijibu swali la Sam Misago juu ya ukaribu wake na mtoto wake wa kike Elizabeth huku akiwa hana mwanamke.

''Toka April 2014 nimejitunza sijawahi kukutana na mwanamke kimwili, mimi ni mwanaume niliyekamilika kuanzia mwonekano lakini kwasasa sina mwanamke namjali tu mtoto wangu ili ajivunie uwepo wa baba yake ila Mungu akijaalia nitapata mke'', alisema.

Kuhusu skendo zinazoendelea mitandaoni kuwa mwimbaji huyo ana watoto wengi tu na sio mmoja kama anavyodai yeye, Mbasha aliweka wazi ukweli.

''Nina mtoto mmoja tu ambaye ni Elizabeth Mbasha, ila hao wanaosema nina watoto wengi ni uzushi tu wa mitandaoni pia ni uongo na wivu wenye lengo la kunichafua lakini watashindwa kwa jina la Yesu''.
 
HABARI ZAIDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa January Makamba

Ziara ya Rais Samia Korea kuanza rasmi Mei 31 2024

Bw. Nazar Nicholas (katikati) akikabiziwa tuzo ya WSIS 2024

Tanzania yashinda Tuzo WSIS 2024, nchini Uswisi

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20