Kagera walikuwa wa kwanza kupata bao lililofungwa na Andrew Chikope wa Mtibwa aliyejifunga Dakika ya 37 kabla ya Ame Ally kuisawazishia Mtibwa Dakika ya 47.
Rashid Mandawa aliifungia bao la ushindi Kagera Dakika ya 74.
Mtibwa Sugar imewazawadia ndugu zao Kagera Sugar bao moja na kupelekea Kagera kuibuka na ushindi wa bao 2-1 katika mchezo wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.