Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Manara awataja wanaoharibu soka nchini

Saturday , 24th Mar , 2018

Afisa Habari wa Klabu ya Simba Haji Manara amerusha dongo hewani kwa kusema kuna kikundi kichache cha watu walioijua wekundu wa Msimbazi na Yanga katika mitandao ya kijamii na ndio maana wanaleta chuki za kijinga baina yao bila ya kujua wametoka wapi

Manara ametoa kauli hiyo asubuhi ya leo kupitia ukurasa wake wa kijamii ikiwa imeambatana na 'video' iliyokuwa inamuonesha mchezaji Haruna Ninyonzima (Simba), Thabani Kamusoko (Yanga) pamoja na Hamisi Tambwe (Yanga) wakiwa wanafanya mazoezi ya viungo katika 'gym' moja bila ya kujali tofauti ya itikadi zao za michezo.

"Very nice', hawa ni 'proffesional player' hasa wanacheza timu shindani kwenye soka nchini, wanatoka mataifa tofauti lakini wapo 'Gym' pamoja hii ndio soka. 'Always' nawaambia Simba na Yanga ni washindani wa dakika 90 za uwanjani na watani wa jadi tu", amesema Manara.

Pamoja na hayo, Manara ameendelea kwa kusema "chuki za kijinga zinaletwa na washamba waliozijua hizi timu katika mitandao ya kijamii kama 'facebook', 'WhatsApp na 'Instagram'. Niwatakie heri magwiji wetu".

Kwa upande mwingine, Simba kwa sasa inaongoza katika msimamo wa ligi kuu Tanzania bara ikiwa na alama 46 sawa na watani wao wa Jadi Yanga zikitofautiana idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa pamoja na idadi ya michezo Yanga ikiwa mbele kwa mchezo mmoja.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya