
Star wa Bongo movi Chekibudi
Akizunguma na Enewz Chekibudi alisema kuwa ving'amuzi vingi vimetoka kwa sasa na vinaonesha filamu mbalimbali kitu kilichopelekea mauzo ya kazi zao kushuka.
“Sisi tulipotea pale tulipouza kazi zetu badala ya kuuza kopi lakini mtu anajifunza kutokana na makosa, kwasasa tunajipanga ili tusilifanye hilo tena”