Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mo Dewji ataja bajeti ya Simba msimu wa 2019/20

Tuesday , 13th Aug , 2019

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo' amesema kuwa bajeti ya klabu hiyo katika msimu wa 2019/20 itakuwa mara mbili na nusu ya msimu uliopita.

Mohamed Dewji

Akifanya mahojiano na Shirika la Habari nchini Uingereza BBC, Mo amesema kuwa ameyaona mabadiliko makubwa ndani ya kipindi cha msimu mmoja, kitu ambacho kinamfanya azidi kuwa nguvu ya kuwekeza zaidi ili kufukia kuwa klabu kubwa Afrika.

"Miaka mitano iliyopita, watu walipoteza kabisa matumaini ya kufuatilia klabu na wengi wao walikimbilia kuangali Ligi Kuu ya Soka ya Uingereza, hakuna ambaye alikuwa na habari na Simba", amesema.

"Ndio maana mwaka uliopita tuliweka nguvu kubwa zaidi, tukawaleta wachezaji wakubwa wa Kimataifa, tukatengeneza mfumo wa kusaka wachezaji 'Scouting' pamoja na kumpata kocha mkubwa. Bajeti yetu ya msimu uliopita hadi msimu huu imeongezeka mara mbili na nusu", ameongeza.

Aidha Mo Dewji amesema kuwa alitumia fursa ya kukuza kurasa za mitandao ya kijamii za klabu ya Simba kuwa za kiweledi zaidi pamoja na kuzirasimisha baada ya kuona kwamba Watanzania wengi wanafuatili mitandao ya kijamii, ambapo amesema hatua hiyo imeifanya klabu kukua mara dufu ndani na nje ya nchi.

HABARI ZAIDI

Muonekano wa Eneo la Somanga baada ya Mawasiliano kati ya Lindi na Dar es Salaam kurejeshwa.

Mawasiliano yarejeshwa barabara ya Dar - Lindi

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil