Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

'Anayemtaka Aussems amfuate alipoenda' - Manara

Thursday , 12th Dec , 2019

Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefunguka kuwa yeyote anayesema kuhusu kuonewa na kufukuzwa kwa aliyekuwa kocha wao Patrick Aussems, basi amfuate hukohuko alipoenda.

Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara.

Haji Manara amejibu hivyo kupitia EATV & EA Radio Digital, baada ya kuwepo na maoni mengi ya mashabiki wa klabu hiyo ya Simba, kusema kocha aliyefukuzwa ghafla hakustahili kufanyiwa hivyo.

"Kwa maana hiyo mnataka mseme Mohammed Dewji anayelipa pesa awe haipendi Simba na anamuonea, yaani pesa ziwe zake halafu awe anamuonea huyo mtu, yeye ndiyo mwenyekiti wa bodi utasemaje amtetee mtu ambaye hayupo, tuungeni mkono, twendeni kwenye mpira tuna mechi na Yanga  pia tuna mechi kwenye Kombe la FA" ameeleza Haji Manara.

Aidha Haji Manara ameendelea kusema "Tutakwenda kuchukua ubingwa wetu, mimi nitaondoka, Aussems kaondoka, wataondoka wengine na wengine ila Simba itabakia palepale na itaendelea kuwepo, kama uliipenda Simba kwa ajili ya Aussems mfuate Aussems".

Klabu ya Simba siku ya Disemba 11, 2019, ilimtambulisha kocha wao mpya aitwaye Sven Vanderbroeck, raia wa Ubelgiji, na kocha msaidizi aliyetambulishwa ni mzawa Selemani Matola.

 

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali