Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Baba mbaroni kwa kumbaka mtoto wa kumzaa

Saturday , 25th Jan , 2020

Ezron Ndone mkazi wa Mtaa wa Joshoni Kata ya Mji Mwema mkoani Njombe anadaiwa kumbaka mtoto wake wa miaka 11 anayesoma darasa la 5,kwa kumlaghai mtoto huyo na kuanza kulala naye chumba kimoja, baada ya kumfukuza Mke wake.

Ubakaji

Valentina Mkolongo ni Mama mzazi wa mtoto aliyebakwa ambaye pia  ana jumla ya watoto watano amesema kwa muda mrefu amekuwa na mgogoro na mume wake na ikafika wakati akafukuzwa chumbani na kulazimika kuhamia chumba kingine, na moja ya chanzo cha mgogoro ni mama kupinga uhusiano uliokuwa unatia mashaka kati ya Baba na Binti yao wa kwanza mwenye umri wa miaka 11.

Kwa upande wake mtoto ambaye anadaiwa kubakwa na Baba yake mzazi amesema wakati wakulala alikuwa akiwaita yeye na wadogo zake na wakiwa wamelala akawa anatumia muda huo kumbaka.

Kwa upande wake Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Kamishna Msaidizi wa Polisi Hamis Issa, amethibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa ambaye ni mfanyabiashara wa Mkaa.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya