Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Hatma ya wanafunzi waliosimamishwa UDSM

Monday , 3rd Feb , 2020

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa William Anangisye, amesema kuwa muda wowote kuanzia sasa wataweza kuwaita viongozi Sita wa Serikali ya wanafunzi wa chuo hicho (DARUSO), waliosimamishwa masomo kwa ajili ya hatua zingine.

DARUSO , kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa William Anangisye.

Akizungumza na EATV&EA Radio Digital leo Februari 3,2020 Profesa Anangisye amesema kuwa uchunguzi wa awali waliokuwa wanaufanya dhidi yao umekwishakamilika kwa kiasi fulani na kwamba wataweza kuwaita mara baada ya taratibu zao kukamilika.

"Tuko kwenye mchakato wa kuwaita na ile barua ilikuwa inasema pending investigation sasa hivi tumeshamaliza na tumefikia kwenye hatua fulani, na suala la masomo lina taratibu zake na nadhani hadi keshokutwa (Jumatano Februari 5) nitakuwa na nafasi nzuri ya kuliongelea" amesema Profesa Anangisye.

Viongozi Sita wa DARUSO akiwemo Rais wao walisimamishwa masomo Disemba 18, 2019 na uongozi wa chuo baada ya kupokea maagizo kutoka kwa Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako, aliyetoa masaa 24 kwa uongozi wa chuo kuwachukulia hatua stahiki baada ya DARUSO kutoa tamko la masaa 72 kwa Bodi ya Mikopo, wakishinikiza kulipwa madai yao ya mikopo.

HABARI ZAIDI

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita

Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Mvua zilizoambatana na upepo zimeua watu watano TZ

Muonekano wa Eneo la Somanga baada ya Mawasiliano kati ya Lindi na Dar es Salaam kurejeshwa.

Mawasiliano yarejeshwa barabara ya Dar - Lindi

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP