Picha ya Alikiba akiwa na mkewe pamoja na mtoto wao Keyaan
Kupitia mtandao wa Snapchat Alikiba alirekodi video fupi ikimuonyesha mkewe huyo pamoja na mtoto wao ambao wameonekana wakiwa na furaha.
Aidha siku mbili zilizopita mtoto wao huyo alikuwa anasheherekea kumbulumbu ya kutimiza umri wa miaka miwili ambapo taarifa zinasema hiyo ndiyo sababu ya wazazi wake kuonekana tena wakiwa pamoja.
Pia kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Alikiba amem-follow mtu mmoja tu ambaye ni mwanaye Keyaan Alikiba, msanii huyo huwa hanaga utaratibu wa kumfollow mtu yeyeote kupitia mtandao huo.