Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mzee wa miaka 101 apona Corona Italia

Saturday , 28th Mar , 2020

Ripoti kutoka hospitali ya Jiji la Rimini Kaskazini mwa nchi ya Italia, inaeleza kuwa Babu mwenye umri wa miaka 101 ameruhusiwa kutoka Hospitali baada kupona ugonjwa wa virusi vya Corona.

Picha ya mzee huyo akipatiwa matibabu hospitalini

Mzee huyo ambaye amejulikana kwa jina la Mr P alizaliwa mwaka 1919, ameweka rekodi ya kuwa mtu mzee aliyeweza kushinda kupona ugonjwa huo baada ya kuaminika kuwa unaangamiza zaidi wazee.

Akitoa taarifa hiyo kiongozi wa hospitali  ya  Rimini Gloria Lisi, ameviambia vyombo vya ndani vya habari nchini humo kuwa  "Mr P ameruhusiwa kutoka hospitali siku ya Alhamisi jioni na kufuatwa na familia yake amekuwa mtu wa pili kupona ugonjwa huu,  na ametufundisha kuwa hata mtu mzee mwenye umri kama wake anaweza akapona, yajayo hayaandikwi".

Aidha  amesema siku hiyo ya Alhamisi pekee amepokea kesi mpya za wagonjwa wa virusi vya Corona 1189, Pia shirika la Afya nchini humo limesema asilimia 86 ya vifo vilivyotokea kutokana na ugonjwa huo ni wazee walio na umri wa miaka 70 na kuendelea.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya